Danieli 6:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Asubuhi mfalme akaondoka mapema, akaenda kwa haraka mpaka penye lile tundu la simba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Alfajiri na mapema, mfalme Dario aliamka, akaenda kwa haraka kwenye pango la simba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Alfajiri na mapema, mfalme Dario aliamka, akaenda kwa haraka kwenye pango la simba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Alfajiri na mapema, mfalme Dario aliamka, akaenda kwa haraka kwenye pango la simba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Asubuhi na mapema, mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Asubuhi na mapema, mfalme akaondoka na kuharakisha kwenda kwenye tundu la simba. Tazama sura |