Danieli 6:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ilimpendeza Dario kuweka juu ya ufalme wakuu mia moja na ishirini, wawe juu ya ufalme wote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ilimpendeza Dario kuteua wakuu mia moja na ishirini kutawala katika ufalme wake wote, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote, Tazama sura |