Danieli 5:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Ndipo mfalme Belshaza akahangaika sana, uso wake ukambadilika, na wakuu wake wakaona fadhaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Basi, mfalme Belshaza akazidi kuhangaika na rangi yake ikazidi kugeuka, nao wakuu wake wakawa na wasiwasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Basi, mfalme Belshaza akazidi kuhangaika na rangi yake ikazidi kugeuka, nao wakuu wake wakawa na wasiwasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Basi, mfalme Belshaza akazidi kuhangaika na rangi yake ikazidi kugeuka, nao wakuu wake wakawa na wasiwasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Basi Mfalme Belshaza akazidi kujawa na hofu, na uso wake ukageuka rangi zaidi. Wakuu wake wakapigwa na bumbuazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Basi Mfalme Belshaza akazidi kujawa na hofu, na uso wake ukageuka rangi zaidi. Wakuu wake wakapigwa na bumbuazi. Tazama sura |