Danieli 5:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Ndipo uso wa mfalme ukambadilika; fikira zake zikamfadhaisha; viungo vya viuno vyake vikalegea; magoti yake yakagongana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, mfalme akabadilika rangi na fikira zake zikamfadhaisha, viungo vyake vikalegea na magoti yakaanza kutetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, mfalme akabadilika rangi na fikira zake zikamfadhaisha, viungo vyake vikalegea na magoti yakaanza kutetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, mfalme akabadilika rangi na fikira zake zikamfadhaisha, viungo vyake vikalegea na magoti yakaanza kutetemeka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Uso wa mfalme ukageuka rangi, naye akaogopa sana, kiasi kwamba magoti yake yaligongana na miguu yake ikalegea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Uso wa mfalme ukageuka rangi, naye akaogopa sana, kiasi kwamba magoti yake yaligongana na miguu yake ikalegea. Tazama sura |