Danieli 3:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Kisha mfalme akawakuza Shadraka, na Meshaki, na Abednego, katika wilaya ya Babeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Basi, mfalme Nebukadneza akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika mkoa wa Babuloni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Basi, mfalme Nebukadneza akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika mkoa wa Babuloni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Basi, mfalme Nebukadneza akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika mkoa wa Babuloni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kisha mfalme akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika jimbo la Babeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kisha mfalme akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika jimbo la Babeli. Tazama sura |