Danieli 2:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 miguu yake ni ya chuma; na nyayo za miguu yake nusu ya chuma na nusu ya udongo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Miguu yake ilikuwa ya chuma na nyayo zake zilikuwa za mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Miguu yake ilikuwa ya chuma na nyayo zake zilikuwa za mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Miguu yake ilikuwa ya chuma na nyayo zake zilikuwa za mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 miguu yake ilikuwa ya chuma; na nyayo zake zilikuwa chuma na sehemu nyingine udongo uliochomwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 miguu yake ilikuwa ya chuma, na nyayo zake zilikuwa chuma nazo sehemu nyingine zilikuwa udongo wa mfinyanzi uliochomwa. Tazama sura |