Danieli 11:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC42 Naye ataunyosha mkono wake juu ya nchi hizo, hata na nchi ya Misri haitaokoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Wakati atakapozivamia nchi hizo, hata nchi ya Misri haitanusurika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Wakati atakapozivamia nchi hizo, hata nchi ya Misri haitanusurika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Wakati atakapozivamia nchi hizo, hata nchi ya Misri haitanusurika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Atapanua mamlaka yake juu ya nchi nyingi; hata Misri haitaepuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Atapanua mamlaka yake juu ya nchi nyingi; hata Misri haitaepuka. Tazama sura |