Danieli 11:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Na mfalme hodari atasimama, atakayetawala kwa uwezo mkuu, na kutenda apendavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kisha atatokea mfalme hodari atakayetawala eneo kubwa na kufanya atakavyopenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kisha atatokea mfalme hodari atakayetawala eneo kubwa na kufanya atakavyopenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kisha atatokea mfalme hodari atakayetawala eneo kubwa na kufanya atakavyopenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo mfalme mwenye nguvu atatokea, atakayetawala kwa nguvu nyingi, na kufanya anavyopenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo mfalme mwenye nguvu atatokea, ambaye atatawala kwa nguvu nyingi na kufanya anavyopenda. Tazama sura |