Danieli 11:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Kwa upande wangu, katika mwaka wa kwanza wa Dario, Mmedi, mimi nilisimama ili kumsaidia na kumtia nguvu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “ ‘Lakini kwa upande wangu mimi, katika mwaka wa kwanza wa mfalme Dario Mmedi, nilijitoa kumthibitisha na kumtia nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “ ‘Lakini kwa upande wangu mimi, katika mwaka wa kwanza wa mfalme Dario Mmedi, nilijitoa kumthibitisha na kumtia nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “‘Lakini kwa upande wangu mimi, katika mwaka wa kwanza wa mfalme Dario Mmedi, nilijitoa kumthibitisha na kumtia nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Nami katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario Mmedi, nilisimama kumsaidia na kumlinda.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Nami katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario Mmedi, nilisimama kumsaidia na kumlinda.) Tazama sura |