Danieli 10:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Na siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa kando ya ule mto mkubwa, Hidekeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya mto Tigri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya mto Tigri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya mto Tigri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kwenye ukingo wa mto mkubwa Hidekeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwenye siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa nimesimama kwenye ukingo wa mto mkubwa Hidekeli, Tazama sura |