Danieli 10:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Sikula chakula kitamu, wala nyama wala divai haikuingia kinywani mwangu, wala sikujipaka mafuta kabisa, hata majuma matatu kamili yalipotimia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Sikula chakula cha fahari, sikugusa nyama wala divai, na sikujipaka mafuta kwa muda wa majuma hayo yote matatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Sikula chakula cha fahari, sikugusa nyama wala divai, na sikujipaka mafuta kwa muda wa majuma hayo yote matatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Sikula chakula cha fahari, sikugusa nyama wala divai, na sikujipaka mafuta kwa muda wa majuma hayo yote matatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Sikula chakula kizuri; nyama wala divai havikugusa midomo yangu; nami sikujipaka mafuta kamwe hadi majuma matatu yalipotimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Sikula chakula kizuri; nyama wala divai havikugusa midomo yangu; nami sikujipaka mafuta kamwe mpaka majuma matatu yalipotimia. Tazama sura |