Danieli 10:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Kisha mmoja mfano wa mwanadamu akanigusa tena, akanitia nguvu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 “Yule mmoja aliyeonekana kama mwanaadamu akanigusa kwa mara nyingine, akanitia nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 “Yule mmoja aliyeonekana kama mwanaadamu akanigusa kwa mara nyingine, akanitia nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 “Yule mmoja aliyeonekana kama mwanaadamu akanigusa kwa mara nyingine, akanitia nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Tena yule aliyeonekana kama mwanadamu akanigusa na kunitia nguvu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Tena yule aliyeonekana kama mwanadamu akanigusa na kunitia nguvu. Tazama sura |