Danieli 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Na tazama, mkono ukanigusa, ukaniweka juu ya magoti yangu, na viganja vya mikono yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Hapo, mkono ukanigusa, ukanisimamisha, na kuimarisha miguu na mikono yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Hapo, mkono ukanigusa, ukanisimamisha, na kuimarisha miguu na mikono yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Hapo, mkono ukanigusa, ukanisimamisha, na kuimarisha miguu na mikono yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mkono ulinigusa, ukaninyanyua na kuniweka magotini, mikono yangu ikishika chini, huku nikiwa bado ninatetemeka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mkono ulinigusa, ukaninyanyua, na kuniweka nikipiga magoti na mikono yangu ikashika chini, huku nikiwa bado ninatetemeka. Tazama sura |