Danieli 1:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mboga za majani tule, na maji tunywe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Tafadhali utujaribu, sisi watumishi wako kwa muda wa siku kumi kwa kutupa mboga za majani na maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Tafadhali utujaribu, sisi watumishi wako kwa muda wa siku kumi kwa kutupa mboga za majani na maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Tafadhali utujaribu, sisi watumishi wako kwa muda wa siku kumi kwa kutupa mboga za majani na maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “Tafadhali wajaribu watumishi wako kwa siku kumi. Usitupe chochote ila nafaka na mboga za majani tule, na maji ya kunywa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 “Tafadhali wajaribu watumishi wako kwa siku kumi. Usitupe chochote ila nafaka na mboga za majani tule, na maji ya kunywa. Tazama sura |