Amosi 8:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Tena itakuwa siku hiyo, asema Bwana MUNGU, nitalifanya jua litue wakati wa adhuhuri, nami nitaitia nchi giza wakati wa nuru ya mchana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Bwana Mwenyezi-Mungu asema, “Siku hiyo nitalifanya jua litue adhuhuri, na kuijaza nchi giza mchana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Bwana Mwenyezi-Mungu asema, “Siku hiyo nitalifanya jua litue adhuhuri, na kuijaza nchi giza mchana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Bwana Mwenyezi-Mungu asema, “Siku hiyo nitalifanya jua litue adhuhuri, na kuijaza nchi giza mchana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “Katika siku ile,” asema Bwana Mungu Mwenyezi, “Nitalifanya jua litue alasiri na kuifanya dunia iwe giza wakati wa mchana mwangavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “Katika siku ile,” asema bwana Mwenyezi, “Nitalifanya jua litue alasiri na kuifanya dunia iwe giza wakati wa mchana mwangavu. Tazama sura |