Amosi 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kwa ajili ya hayo, je! Haitatetemeka nchi, na kuomboleza kila mtu akaaye ndani yake? Naam, itainuka yote pia kama huo Mto; nayo itataabika na kupwa tena kama Mto wa Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kwa hiyo, dunia itatetemeka na kila mtu nchini ataomboleza. Nchi yote itayumbayumba; itapanda na kushuka, kama yanavyojaa na kupwa maji ya mto Nili!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kwa hiyo, dunia itatetemeka na kila mtu nchini ataomboleza. Nchi yote itayumbayumba; itapanda na kushuka, kama yanavyojaa na kupwa maji ya mto Nili!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kwa hiyo, dunia itatetemeka na kila mtu nchini ataomboleza. Nchi yote itayumbayumba; itapanda na kushuka, kama yanavyojaa na kupwa maji ya mto Nili!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Je, nchi haitatetemeka kwa ajili ya hili, nao wote wanaoishi ndani yake hawataomboleza? Nchi yote itainuka kama Mto Naili; itapanda na kushuka kama mto wa Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Je, nchi haitatetemeka kwa ajili ya hili, nao wote waishio ndani mwake hawataomboleza? Nchi yote itainuka kama Naili; itapanda na kushuka kama mto wa Misri. Tazama sura |