Amosi 6:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 ninyi mnaoimba nyimbo za upuzi pamoja na sauti ya vinanda, na kujifanyia vinanda vya namna nyingi, kama vile Daudi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Nyinyi mnapenda kuimba ovyo na sauti ya vinubi na kubuni ala mpya za muziki mkimwiga mfalme Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Nyinyi mnapenda kuimba ovyo na sauti ya vinubi na kubuni ala mpya za muziki mkimwiga mfalme Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Nyinyi mnapenda kuimba ovyo na sauti ya vinubi na kubuni ala mpya za muziki mkimwiga mfalme Daudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi, huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi, huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali. Tazama sura |