Amosi 6:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kwa maana, angalia, BWANA atoa amri, na jumba kuu litabomolewa vipande vipande, na nyumba ndogo kuwa vigae. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Tazama! Mwenyezi-Mungu anatoa amri, nalo jumba kubwa labomoka vipandevipande, na nyumba ndogo kusagikasagika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Tazama! Mwenyezi-Mungu anatoa amri, nalo jumba kubwa labomoka vipandevipande, na nyumba ndogo kusagikasagika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Tazama! Mwenyezi-Mungu anatoa amri, nalo jumba kubwa labomoka vipandevipande, na nyumba ndogo kusagikasagika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamuru, naye atabomoa jumba kubwa vipande vipande na nyumba ndogo vipande vidogo vidogo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kwa kuwa bwana ameamuru, naye atabomoa jumba kubwa vipande vipande na nyumba ndogo vipande vidogo vidogo. Tazama sura |