Amosi 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya BWANA; kwa nini kuitamani siku ya BWANA? Ni giza, wala si nuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ole wenu nyinyi mnaoingojea kwa hamu siku ya Mwenyezi-Mungu! Kwa nini mnaitaka sana siku hiyo? Siku hiyo, itakuwa siku ya giza na sio ya mwanga! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ole wenu nyinyi mnaoingojea kwa hamu siku ya Mwenyezi-Mungu! Kwa nini mnaitaka sana siku hiyo? Siku hiyo, itakuwa siku ya giza na sio ya mwanga! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ole wenu nyinyi mnaoingojea kwa hamu siku ya Mwenyezi-Mungu! Kwa nini mnaitaka sana siku hiyo? Siku hiyo, itakuwa siku ya giza na sio ya mwanga! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ole wenu ninyi mnaoitamani siku ya Mwenyezi Mungu! Kwa nini mnaitamani siku ya Mwenyezi Mungu? Siku hiyo itakuwa giza, si nuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ole wenu ninyi mnaoitamani siku ya bwana! Kwa nini mnaitamani siku ya bwana? Siku hiyo itakuwa giza, si nuru. Tazama sura |