Amosi 5:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Tafuteni mema, wala si mabaya, mpate kuishi; hivyo BWANA, Mungu wa majeshi, atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Tafuteni mema, wala si mabaya, ili mpate kuishi. Ndipo Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo yupo nanyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Tafuteni mema, wala si mabaya, ili mpate kuishi. Ndipo bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo yupo nanyi. Tazama sura |