Amosi 2:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema bwana. Tazama sura |