Amosi 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 na mfalme wao atakwenda utumwani, yeye na wakuu wake wote pamoja, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mfalme wake ataenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mfalme wake atakwenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema bwana. Tazama sura |