Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Akawafariji kwa maneno ya Sheria na Manabii, na kuwakumbusha ushindi wao katika mapigano mengi, na hivyo aliwatia moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Aliwatia moyo kwa maneno ya sheria na mafundisho ya manabii na kwa kuwakumbusha mapambano mbalimbali waliyokuwa wameshinda, akawafanya wawe na hamu zaidi ya kupiga vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Aliwatia moyo kwa maneno ya sheria na mafundisho ya manabii na kwa kuwakumbusha mapambano mbalimbali waliyokuwa wameshinda, akawafanya wawe na hamu zaidi ya kupiga vita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Akawafariji kwa maneno ya Sheria na Manabii, na kuwakumbusha ushindi wao katika mapigano mengi, na hivyo aliwatia moyo. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Aliwatia moyo kwa maneno ya sheria na mafundisho ya manabii na kwa kuwakumbusha mapambano mbalimbali waliyokuwa wameshinda, akawafanya wawe na hamu zaidi ya kupiga vita. Tazama sura |