Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Akawaonya watu wake wasiyaogope mashambulio ya mataifa, bali waukumbuke msaada walioupata mara nyingi kutoka mbinguni na kuutazamia sasa ushindi watakaoletewa na Mwenyezi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hivi akawahimiza watu wake wasiwaogope maadui. Aliwatia moyo kwa kuwataka wakumbuke jinsi Mungu Mwenye Nguvu alivyokuwa amewasaidia siku za nyuma, na akawathibitishia kwamba Mungu angewasaidia pia safari hii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hivi akawahimiza watu wake wasiwaogope maadui. Aliwatia moyo kwa kuwataka wakumbuke jinsi Mungu Mwenye Nguvu alivyokuwa amewasaidia siku za nyuma, na akawathibitishia kwamba Mungu angewasaidia pia safari hii. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Akawaonya watu wake wasiyaogope mashambulio ya mataifa, bali waukumbuke msaada walioupata mara nyingi kutoka mbinguni na kuutazamia sasa ushindi watakaoletewa na Mwenyezi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Hivi akawahimiza watu wake wasiwaogope maadui. Aliwatia moyo kwa kuwataka wakumbuke jinsi Mungu Mwenye Nguvu alivyokuwa amewasaidia siku za nyuma, na akawathibitishia kwamba Mungu angewasaidia pia safari hii. Tazama sura |