Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Basi Nikano, hali moyo wake umejaa kiburi, alinuia kusimamisha nguzo ya ukumbusho wa ushindi wake juu ya Yuda na watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Katika majivuno yake, Nikanori alikuwa amejigamba eti angejenga mnara wa ukumbusho wa ushindi wake dhidi ya Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Katika majivuno yake, Nikanori alikuwa amejigamba eti angejenga mnara wa ukumbusho wa ushindi wake dhidi ya Yuda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi Nikano, hali moyo wake umejaa kiburi, alinuia kusimamisha nguzo ya ukumbusho wa ushindi wake juu ya Yuda na watu wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Katika majivuno yake, Nikanori alikuwa amejigamba eti angejenga mnara wa ukumbusho wa ushindi wake dhidi ya Yuda. Tazama sura |