Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Akasema, Mimi nami ni mfalme hapa duniani, na amri yangu ndiyo mshike silaha na kufanya kazi ya mfalme. Lakini hakufaulu katika kulitimiza shauri lake baya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini Nikanori akajibu: “Mimi ndiye mtawala duniani, na ninawaamuru kushika silaha zenu na kufanya anachoamuru mfalme.” Hata hivyo, Nikanori hakufaulu kutekeleza mpango wake wa kikatili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini Nikanori akajibu: “Mimi ndiye mtawala duniani, na ninawaamuru kushika silaha zenu na kufanya anachoamuru mfalme.” Hata hivyo, Nikanori hakufaulu kutekeleza mpango wake wa kikatili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Akasema, Mimi nami ni mfalme hapa duniani, na amri yangu ndiyo mshike silaha na kufanya kazi ya mfalme. Lakini hakufaulu katika kulitimiza shauri lake baya. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Lakini Nikanori akajibu: “Mimi ndiye mtawala duniani, na ninawaamuru kushika silaha zenu na kufanya anachoamuru mfalme.” Hata hivyo, Nikanori hakufaulu kutekeleza mpango wake wa kikatili. Tazama sura |