Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Wakamjibu, Kuna BWANA aliye hai, Mfalme mwenyewe mbinguni ndiye aliyetuagiza tuishike siku ya saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wayahudi wakajibu: “Ndiyo, yuko; Bwana aishiye, atawalaye mbinguni, alituamuru tuiheshimu Sabato.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wayahudi wakajibu: “Ndiyo, yuko; Bwana aishiye, atawalaye mbinguni, alituamuru tuiheshimu Sabato.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Wakamjibu, Kuna BWANA aliye hai, Mfalme mwenyewe mbinguni ndiye aliyetuagiza tuishike siku ya saba. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Wayahudi wakajibu: “Ndiyo, yuko; Bwana aishiye, atawalaye mbinguni, alituamuru tuiheshimu Sabato.” Tazama sura |