Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 15:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

39 Kama vile haifai kunywa divai peke yake, au maji peke yake, ila divai iliyochanganywa na maji ina afya na kupendeza; ndivyo masimulizi mazuri yakitungwa kwa ufasaha, huyafurahisha masikio yao wanaoyasoma. Na yakome hapa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Tunajua kwamba haileti afya kunywa divai au maji peke yake, ambapo divai iliyochanganywa na maji hufanya kinywaji chenye ladha ya kupendeza. Hivi, pia, masimulizi mazuri yakiandikwa kwa ustadi huwafurahisha na kuwaburudisha wasomaji. Na hapa ndio mwisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Tunajua kwamba haileti afya kunywa divai au maji peke yake, ambapo divai iliyochanganywa na maji hufanya kinywaji chenye ladha ya kupendeza. Hivi, pia, masimulizi mazuri yakiandikwa kwa ustadi huwafurahisha na kuwaburudisha wasomaji. Na hapa ndio mwisho.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

39 Kama vile haifai kunywa divai peke yake, au maji peke yake, ila divai iliyochanganywa na maji ina afya na kupendeza; ndivyo masimulizi mazuri yakitungwa kwa ufasaha, huyafurahisha masikio yao wanaoyasoma. Na yakome hapa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

39 Tunajua kwamba haileti afya kunywa divai au maji peke yake, ambapo divai iliyochanganywa na maji hufanya kinywaji chenye ladha ya kupendeza. Hivi, pia, masimulizi mazuri yakiandikwa kwa ustadi huwafurahisha na kuwaburudisha wasomaji. Na hapa ndio mwisho.

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 15:39
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo