Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Kama yametungwa kwa ufasaha na kupangwa kwa ustadi, ndivyo nilivyotaka. Lakini kama ni hafifu, au si mazuri sana, ndivyo nilivyoweza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Kama yameandikwa kwa ufasaha na mpangilio, ninafurahi; lakini kama yameandikwa ovyoovyo na bila kivutio, hivyo ndivyo nilivyoweza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Kama yameandikwa kwa ufasaha na mpangilio, ninafurahi; lakini kama yameandikwa ovyoovyo na bila kivutio, hivyo ndivyo nilivyoweza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Kama yametungwa kwa ufasaha na kupangwa kwa ustadi, ndivyo nilivyotaka. Lakini kama ni hafifu, au si mazuri sana, ndivyo nilivyoweza. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA38 Kama yameandikwa kwa ufasaha na mpangilio, ninafurahi; lakini kama yameandikwa ovyoovyo na bila kivutio, hivyo ndivyo nilivyoweza. Tazama sura |