Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Hizo ndizo habari za Nikano. Tangu wakati ule mji umekuwa mikononi mwa Wayahudi; kwa hiyo mimi nami nitayakomesha masimulizi yangu hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Hivyo ndivyo mambo yalivyomwendea Nikanori. Toka siku hiyo mji wa Yerusalemu umebaki mikononi mwa taifa la Wayahudi; nami namalizia masimulizi yangu hapa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Hivyo ndivyo mambo yalivyomwendea Nikanori. Toka siku hiyo mji wa Yerusalemu umebaki mikononi mwa taifa la Wayahudi; nami namalizia masimulizi yangu hapa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Hizo ndizo habari za Nikano. Tangu wakati ule mji umekuwa mikononi mwa Wayahudi; kwa hiyo mimi nami nitayakomesha masimulizi yangu hapo. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA37 Hivyo ndivyo mambo yalivyomwendea Nikanori. Toka siku hiyo mji wa Yerusalemu umebaki mikononi mwa taifa la Wayahudi; nami namalizia masimulizi yangu hapa. Tazama sura |