Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Nao wote pamoja wakakata shauri na kutangaza amri ya kuwa siku hii isisahauliwe kamwe, bali siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili – uitwao Adari kwa lugha ya Kishamu – yaani ile siku kabla ya Siku ya Mordekai, iwe sikukuu ya kuadhimishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Kwa kauli moja iliamuliwa kwamba siku hiyo isisahauliwe kamwe, bali iadhimishwe kila mwaka siku inayotangulia siku ya Mordekai, yaani, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili uitwao Adari kwa Kiaramu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Kwa kauli moja iliamuliwa kwamba siku hiyo isisahauliwe kamwe, bali iadhimishwe kila mwaka siku inayotangulia siku ya Mordekai, yaani, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili uitwao Adari kwa Kiaramu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Nao wote pamoja wakakata shauri na kutangaza amri ya kuwa siku hii isisahauliwe kamwe, bali siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili – uitwao Adari kwa lugha ya Kishamu – yaani ile siku kabla ya Siku ya Mordekai, iwe sikukuu ya kuadhimishwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA36 Kwa kauli moja iliamuliwa kwamba siku hiyo isisahauliwe kamwe, bali iadhimishwe kila mwaka siku inayotangulia siku ya Mordekai, yaani, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili uitwao Adari kwa Kiaramu. Tazama sura |