Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Akakitungika kichwa cha Nikano ngomeni kiwe ushuhuda dhahiri, wazi kwa wote, wa msaada wa BWANA. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Yuda akakining'iniza kichwa cha Nikanori katika ukuta wa ngome, kiwe ushahidi waziwazi kwa kila mmoja kuhusu msaada wa Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Yuda akakining'iniza kichwa cha Nikanori katika ukuta wa ngome, kiwe ushahidi waziwazi kwa kila mmoja kuhusu msaada wa Bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Akakitungika kichwa cha Nikano ngomeni kiwe ushuhuda dhahiri, wazi kwa wote, wa msaada wa BWANA. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA35 Yuda akakining'iniza kichwa cha Nikanori katika ukuta wa ngome, kiwe ushahidi waziwazi kwa kila mmoja kuhusu msaada wa Bwana. Tazama sura |