Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Wote wakapaza sauti zao mbinguni wakimhimidi BWANA aliyejifunua, wakisema; Ahimidiwe Yeye aliyepalinda mahali pake pasitiwe unajisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Kila mmoja aliinua macho mbinguni, akamsifu Bwana aliyeonesha uwezo wake na kuzuia hekalu lake lisitiwe najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Kila mmoja aliinua macho mbinguni, akamsifu Bwana aliyeonesha uwezo wake na kuzuia hekalu lake lisitiwe najisi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Wote wakapaza sauti zao mbinguni wakimhimidi BWANA aliyejifunua, wakisema; Ahimidiwe Yeye aliyepalinda mahali pake pasitiwe unajisi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA34 Kila mmoja aliinua macho mbinguni, akamsifu Bwana aliyeonesha uwezo wake na kuzuia hekalu lake lisitiwe najisi. Tazama sura |