Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Akaukata ulimi wa yule mwovu Nikano, akasema atautupia kwa ndege vipande vipande, na kutungika mapato ya ujinga wake kupaelekea patakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Kisha akaukata ulimi wa yule mkufuru, akiahidi atawatupia ndege wale, na mabaki ya kichwa kuyaning'iniza mkabala na hekalu, yawe ushindi wa mapato ya upumbavu wa Nikanori. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Kisha akaukata ulimi wa yule mkufuru, akiahidi atawatupia ndege wale, na mabaki ya kichwa kuyaning'iniza mkabala na hekalu, yawe ushindi wa mapato ya upumbavu wa Nikanori. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Akaukata ulimi wa yule mwovu Nikano, akasema atautupia kwa ndege vipande vipande, na kutungika mapato ya ujinga wake kupaelekea patakatifu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA33 Kisha akaukata ulimi wa yule mkufuru, akiahidi atawatupia ndege wale, na mabaki ya kichwa kuyaning'iniza mkabala na hekalu, yawe ushindi wa mapato ya upumbavu wa Nikanori. Tazama sura |