Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Akawaonesha kichwa cha yule mlaaniwa Nikano, na mkono wake yule mkufuru aliokuwa ameunyosha kwa kiburi juu ya nyumba takatifu ya Mwenyezi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Akawaonesha kichwa cha yule mlaaniwa, Nikanori na mkono ambao yule mwovu alikuwa ameunyosha kwa ufidhuli dhidi ya hekalu takatifu la Mungu Mwenye Nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Akawaonesha kichwa cha yule mlaaniwa, Nikanori na mkono ambao yule mwovu alikuwa ameunyosha kwa ufidhuli dhidi ya hekalu takatifu la Mungu Mwenye Nguvu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Akawaonesha kichwa cha yule mlaaniwa Nikano, na mkono wake yule mkufuru aliokuwa ameunyosha kwa kiburi juu ya nyumba takatifu ya Mwenyezi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA32 Akawaonesha kichwa cha yule mlaaniwa, Nikanori na mkono ambao yule mwovu alikuwa ameunyosha kwa ufidhuli dhidi ya hekalu takatifu la Mungu Mwenye Nguvu. Tazama sura |