Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Walipofika alikusanya watu na kuwaweka makuhani mbele ya madhabahu, kisha aliagiza wale wa ngomeni waitwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Walipowasili mjini Yerusalemu, Yuda aliwakusanya pamoja watu wote, akawaweka makuhani mbele ya madhabahu, na kuagiza waletwe watu waliokuwa ngomeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Walipowasili mjini Yerusalemu, Yuda aliwakusanya pamoja watu wote, akawaweka makuhani mbele ya madhabahu, na kuagiza waletwe watu waliokuwa ngomeni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Walipofika alikusanya watu na kuwaweka makuhani mbele ya madhabahu, kisha aliagiza wale wa ngomeni waitwe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA31 Walipowasili mjini Yerusalemu, Yuda aliwakusanya pamoja watu wote, akawaweka makuhani mbele ya madhabahu, na kuagiza waletwe watu waliokuwa ngomeni. Tazama sura |