Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Yeye, aliyekuwa tayari sikuzote, mwili na roho, kuwashindania Wayahudi wenzake, aliyehifadhi katika maisha yake yote ile nia njema kwao ya ujana wake, aliwaagiza wakate kichwa cha Nikano na mkono wake penye bega na kuvipeleka Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Yuda Makabayo, ambaye daima alikuwa amepiga vita kwa nguvu zake zote na kwa moyo wake wote kwa ajili ya Wayahudi wenzake, bila kupoteza kamwe wema wake wa ujanani, akawaamuru watu wake kukata kichwa cha Nikanori na mkono wake wa kulia na kupeleka Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Yuda Makabayo, ambaye daima alikuwa amepiga vita kwa nguvu zake zote na kwa moyo wake wote kwa ajili ya Wayahudi wenzake, bila kupoteza kamwe wema wake wa ujanani, akawaamuru watu wake kukata kichwa cha Nikanori na mkono wake wa kulia na kupeleka Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Yeye, aliyekuwa tayari siku zote, mwili na roho, kuwashindania Wayahudi wenzake, aliyehifadhi katika maisha yake yote ile nia njema kwao ya ujana wake, aliwaagiza wakate kichwa cha Nikano na mkono wake penye bega na kuvipeleka Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA30 Yuda Makabayo, ambaye daima alikuwa amepiga vita kwa nguvu zake zote na kwa moyo wake wote kwa ajili ya Wayahudi wenzake, bila kupoteza kamwe wema wake wa ujanani, akawaamuru watu wake kukata kichwa cha Nikanori na mkono wake wa kulia na kupeleka Yerusalemu. Tazama sura |