Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Naye yule mwenye kulaaniwa mara tatu akauliza kama yupo mfalme mbinguni aliyeamuru Sabato ishikwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Ndipo Nikanori, mlaaniwa mkuu, alipouliza kama eti kulikuwa na mfalme mbinguni aliyekuwa amewaamuru wao kuiheshimu Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Ndipo Nikanori, mlaaniwa mkuu, alipouliza kama eti kulikuwa na mfalme mbinguni aliyekuwa amewaamuru wao kuiheshimu Sabato. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Naye yule mwenye kulaaniwa mara tatu akauliza kama yupo mfalme mbinguni aliyeamuru Sabato ishikwe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Ndipo Nikanori, mlaaniwa mkuu, alipouliza kama eti kulikuwa na mfalme mbinguni aliyekuwa amewaamuru wao kuiheshimu Sabato. Tazama sura |