Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Wakapaza sauti zao kwa shangwe, wakimsifu Mfalme mkuu kwa lugha za wazee wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Ndipo wakapaaza sauti wakishangilia na kumsifu Bwana kwa lugha yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Ndipo wakapaaza sauti wakishangilia na kumsifu Bwana kwa lugha yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Wakapaza sauti zao kwa shangwe, wakimsifu Mfalme mkuu kwa lugha za wazee wao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA29 Ndipo wakapaaza sauti wakishangilia na kumsifu Bwana kwa lugha yao. Tazama sura |