Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Baada ya mapigano, walipokuwa wakirudi kwa furaha, walimwona Nikano, amevaa silaha zake zote, amelala chini amekufa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Baada ya vita, walipokuwa wanarudi nyumbani huku wanafurahia ushindi wao, wakamwona Nikanori katika uwanja wa mapambano, amekufa, akiwa amevaa silaha zake zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Baada ya vita, walipokuwa wanarudi nyumbani huku wanafurahia ushindi wao, wakamwona Nikanori katika uwanja wa mapambano, amekufa, akiwa amevaa silaha zake zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Baada ya mapigano, walipokuwa wakirudi kwa furaha, walimwona Nikano, amevaa silaha zake zote, amelala chini amekufa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA28 Baada ya vita, walipokuwa wanarudi nyumbani huku wanafurahia ushindi wao, wakamwona Nikanori katika uwanja wa mapambano, amekufa, akiwa amevaa silaha zake zote. Tazama sura |