Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Kwa mikono yao walipigana, na kwa mioyo yao walimwomba Mungu; na hivi waliua watu wasiopungua elfu thelathini na tano, wakifurahishwa sana kwa msaada dhahiri wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kwa mikono yao walipiga vita; kwa mioyo yao walimwomba Mungu; hivi Wayahudi wakawaua maadui zaidi ya 35,000. Shukrani yao haikuwa na kifani kwa msaada huo waliokuwa wamepata kutoka kwa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kwa mikono yao walipiga vita; kwa mioyo yao walimwomba Mungu; hivi Wayahudi wakawaua maadui zaidi ya 35,000. Shukrani yao haikuwa na kifani kwa msaada huo waliokuwa wamepata kutoka kwa Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Kwa mikono yao walipigana, na kwa mioyo yao walimwomba Mungu; na hivyo waliua watu wasiopungua elfu thelathini na tano, wakifurahishwa sana kwa msaada dhahiri wa Mungu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA27 Kwa mikono yao walipiga vita; kwa mioyo yao walimwomba Mungu; hivi Wayahudi wakawaua maadui zaidi ya 35,000. Shukrani yao haikuwa na kifani kwa msaada huo waliokuwa wamepata kutoka kwa Mungu. Tazama sura |