Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Na kwa uweza wa mkono wako uwafadhaishe hawa wanaokuja kwa makufuru juu ya hekalu lako takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Kwa uwezo wako mkuu, uwaangamize watu hawa ambao wamekukufuru wewe, na ambao wamekuja kulishambulia taifa lako teule.” Kwa maneno hayo, Yuda alimaliza sala yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Kwa uwezo wako mkuu, uwaangamize watu hawa ambao wamekukufuru wewe, na ambao wamekuja kulishambulia taifa lako teule.” Kwa maneno hayo, Yuda alimaliza sala yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Na kwa uweza wa mkono wako uwafadhaishe hawa wanaokuja kwa makufuru juu ya hekalu lako takatifu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA24 Kwa uwezo wako mkuu, uwaangamize watu hawa ambao wamekukufuru wewe, na ambao wamekuja kulishambulia taifa lako teule.” Kwa maneno hayo, Yuda alimaliza sala yake. Tazama sura |