Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Basi, sasa pia, Ee Mfalme wa mbinguni, upeleke malaika mwema mbele yetu kutisha na kuogofya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Sasa, kwa mara nyingine, ewe Bwana wa mbingu, umtume malaika wako mwema kuwatikisa na kuwatetemesha kwa hofu maadui zetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Sasa, kwa mara nyingine, ewe Bwana wa mbingu, umtume malaika wako mwema kuwatikisa na kuwatetemesha kwa hofu maadui zetu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Basi, sasa pia, Ee Mfalme wa mbinguni, upeleke malaika mwema mbele yetu kutisha na kuogofya. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA23 Sasa, kwa mara nyingine, ewe Bwana wa mbingu, umtume malaika wako mwema kuwatikisa na kuwatetemesha kwa hofu maadui zetu. Tazama sura |