Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Maombi yake yalikuwa hivi; Wewe, BWANA, Mfalme mkuu, zamani za Hezekia, mfalme wa Uyahudi, ulimpeleka malaika wako akaua watu mia themanini na elfu tano wa jeshi la Senakeribu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Basi, akamwomba Mungu hivi: “Bwana, Hezekia alipokuwa mfalme wa Uyahudi, ulimtuma malaika wako, akawaua watu 185,000 wa jeshi la mfalme Senakeribu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Basi, akamwomba Mungu hivi: “Bwana, Hezekia alipokuwa mfalme wa Uyahudi, ulimtuma malaika wako, akawaua watu 185,000 wa jeshi la mfalme Senakeribu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Maombi yake yalikuwa hivi; Wewe, BWANA, Mfalme mkuu, zamani za Hezekia, mfalme wa Uyahudi, ulimpeleka malaika wako akaua watu mia themanini na elfu tano wa jeshi la Senakeribu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA22 Basi, akamwomba Mungu hivi: “Bwana, Hezekia alipokuwa mfalme wa Uyahudi, ulimtuma malaika wako, akawaua watu 185,000 wa jeshi la mfalme Senakeribu. Tazama sura |