Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Makabayo akatazama majeshi makubwa mbele yake, na silaha zao za kila namna, na tembo wakali, akanyosha mikono yake kuelekea mbinguni akamsihi BWANA atendaye miujiza, maana alijua ya kuwa ushindi hauji kwa silaha, ila ni Mungu anayewapa wao walioustahili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, Yuda Makabayo akaangalia hilo jeshi kubwa la maadui, silaha zao za ainaaina, na tembo wao wakali. Halafu akainua mikono yake kuelekea mbinguni, akamwomba Bwana ambaye hutenda maajabu, maana alijua kwamba Bwana huwapa ushindi wale wanaostahili, si wale ambao wana jeshi lenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, Yuda Makabayo akaangalia hilo jeshi kubwa la maadui, silaha zao za ainaaina, na tembo wao wakali. Halafu akainua mikono yake kuelekea mbinguni, akamwomba Bwana ambaye hutenda maajabu, maana alijua kwamba Bwana huwapa ushindi wale wanaostahili, si wale ambao wana jeshi lenye nguvu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Makabayo akatazama majeshi makubwa mbele yake, na silaha zao za kila namna, na tembo wakali, akanyosha mikono yake kuelekea mbinguni akamsihi BWANA atendaye miujiza, maana alijua ya kuwa ushindi hauji kwa silaha, ila ni Mungu anayewapa wao walioustahili. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA21 Basi, Yuda Makabayo akaangalia hilo jeshi kubwa la maadui, silaha zao za ainaaina, na tembo wao wakali. Halafu akainua mikono yake kuelekea mbinguni, akamwomba Bwana ambaye hutenda maajabu, maana alijua kwamba Bwana huwapa ushindi wale wanaostahili, si wale ambao wana jeshi lenye nguvu. Tazama sura |