Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Basi, wote walikuwa wakingojea matokeo ya mashindano. Adui walikuwa wamekusanyana na kujipanga tayari kwa vita; tembo wamewekwa mahali pa kufaa, na wapanda farasi kandokando. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kila mmoja alikuwa anangoja kuona nani angeshinda vita hivyo. Askari wa maadui walikuwa wanasonga mbele, wakiandamana na wapandafarasi kulia na kushoto kwao, na tembo wao wamewaweka katika sehemu muhimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kila mmoja alikuwa anangoja kuona nani angeshinda vita hivyo. Askari wa maadui walikuwa wanasonga mbele, wakiandamana na wapandafarasi kulia na kushoto kwao, na tembo wao wamewaweka katika sehemu muhimu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Basi, wote walikuwa wakingojea matokeo ya mashindano. Adui walikuwa wamekusanyana na kujipanga tayari kwa vita; tembo wamewekwa mahali pa kufaa, na wapanda farasi kandokando. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA20 Kila mmoja alikuwa anangoja kuona nani angeshinda vita hivyo. Askari wa maadui walikuwa wanasonga mbele, wakiandamana na wapandafarasi kulia na kushoto kwao, na tembo wao wamewaweka katika sehemu muhimu. Tazama sura |