Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Wayahudi walioshurutishwa kufuatana naye walisema, Usiharibu hivi kwa ukatili na ushenzi; iadhimishe siku ambayo Yeye avitazamaye vyote ameiadhimisha na kuitakasa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wayahudi waliokuwa wameshurutishwa kumfuata walimwomba asifanye ukatili na unyama kama huo, bali aiheshimu siku hiyo ambayo Mungu aonaye yote alikuwa ameiheshimu na kuifanya takatifu kuliko siku nyingine zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wayahudi waliokuwa wameshurutishwa kumfuata walimwomba asifanye ukatili na unyama kama huo, bali aiheshimu siku hiyo ambayo Mungu aonaye yote alikuwa ameiheshimu na kuifanya takatifu kuliko siku nyingine zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Wayahudi walioshurutishwa kufuatana naye walisema, Usiharibu hivi kwa ukatili na ushenzi; iadhimishe siku ambayo Yeye avitazamaye vyote ameiadhimisha na kuitakasa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 Wayahudi waliokuwa wameshurutishwa kumfuata walimwomba asifanye ukatili na unyama kama huo, bali aiheshimu siku hiyo ambayo Mungu aonaye yote alikuwa ameiheshimu na kuifanya takatifu kuliko siku nyingine zote. Tazama sura |