Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Nao waliokuwa mjini waliona kiherehere juu ya mapigano yanayofanyika nje, wakihangaika sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Na wale waliopaswa kubaki Yerusalemu walipata wasiwasi juu ya mapigano yaliyokuwa yanaendelea nje kwenye uwanja wa mapambano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Na wale waliopaswa kubaki Yerusalemu walipata wasiwasi juu ya mapigano yaliyokuwa yanaendelea nje kwenye uwanja wa mapambano. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Nao waliokuwa mjini waliona kiherehere juu ya mapigano yanayofanyika nje, wakihangaika sana. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA19 Na wale waliopaswa kubaki Yerusalemu walipata wasiwasi juu ya mapigano yaliyokuwa yanaendelea nje kwenye uwanja wa mapambano. Tazama sura |