Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Hofu yao kwa ajili ya wake zao na wana wao, na kwa ndugu zao pia na jamaa zao, ilikuwa si jambo zito kwao kama hofu yao kuu, iliyopita yote, kwa ajili ya hekalu takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hofu yao haikuwa juu ya wake na watoto wao wenyewe na jamaa, ila hasa juu ya hekalu lao takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hofu yao haikuwa juu ya wake na watoto wao wenyewe na jamaa, ila hasa juu ya hekalu lao takatifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Hofu yao kwa ajili ya wake zao na wana wao, na kwa ndugu zao pia na jamaa zao, ilikuwa si jambo zito kwao kama hofu yao kuu, iliyopita yote, kwa ajili ya hekalu takatifu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA18 Hofu yao haikuwa juu ya wake na watoto wao wenyewe na jamaa, ila hasa juu ya hekalu lao takatifu. Tazama sura |