Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 15:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Wakatiwa moyo kwa maneno ya Yuda, maana yalikuwa maneno bora, ya kuchochea tamaa ya wema na kuamsha ushujaa wa kiume katika mioyo ya vijana; wakakata shauri wasikae kambini, bali waende mbele bila hofu na kupigana na adui mkono kwa mkono mpaka ijulikane ni nani watakaoshinda; kwa sababu mji na mahali patakatifu na hekalu vimo katika hatari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Maneno mazuri aliyosema Yuda yalimtia moyo na ushujaa kila mtu, na wavulana walikuwa wametiwa hamu ya kupiga vita kama watu wazima. Mji wao, dini yao, na hekalu lao vilikuwa hatarini. Hivyo, Wayahudi wakaamua wasipoteze muda zaidi, ila wamshambulie adui na kuchunguza uwezekano wa kufaulu kwa mapigano ya ana kwa ana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Maneno mazuri aliyosema Yuda yalimtia moyo na ushujaa kila mtu, na wavulana walikuwa wametiwa hamu ya kupiga vita kama watu wazima. Mji wao, dini yao, na hekalu lao vilikuwa hatarini. Hivyo, Wayahudi wakaamua wasipoteze muda zaidi, ila wamshambulie adui na kuchunguza uwezekano wa kufaulu kwa mapigano ya ana kwa ana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Wakatiwa moyo kwa maneno ya Yuda, maana yalikuwa maneno bora, ya kuchochea tamaa ya wema na kuamsha ushujaa wa kiume katika mioyo ya vijana; wakakata shauri wasikae kambini, bali waende mbele bila hofu na kupigana na adui mkono kwa mkono mpaka ijulikane ni nani watakaoshinda; kwa sababu mji na mahali patakatifu na hekalu vimo katika hatari.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

17 Maneno mazuri aliyosema Yuda yalimtia moyo na ushujaa kila mtu, na wavulana walikuwa wametiwa hamu ya kupiga vita kama watu wazima. Mji wao, dini yao, na hekalu lao vilikuwa hatarini. Hivyo, Wayahudi wakaamua wasipoteze muda zaidi, ila wamshambulie adui na kuchunguza uwezekano wa kufaulu kwa mapigano ya ana kwa ana.

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 15:17
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo